Hurtig levering
Fremragende Trustpilot
Op til 20% Rabat på nye medlemsordrer
Kurv
Kivuko cha Watoto
Af: Gill Gordon Engelsk Paperback
SPAR
kr 181
Kivuko cha Watoto
Af: Gill Gordon Engelsk Paperback
Kupata VVU inaweza isiwe hukumu ya kifo, lakini madhara yake bado ni makubwa. Watu wengi wanaoishi na VVU wanakabiliwa na ukanaji na kutokuwa na hakika kuhusu mustakabali wao, na wasiwasi huu unaweza kuonekana kwa undani zaidi kwa watoto na vijana. Kivuko na Watoto kinawapa mashirika na watu binafsi kitabu ambacho wanaweza kukitumia kuwahusisha watoto walioathirika kwa VVU na walezi wao, kwa kutumia mazoezi yenye uwezo mkubwa wa kuwasilisha taarifa, kuchunguza kanuni, kugundua uwezo wao, na kila mtu binafsi na kwa pamoja kuunda njia madhubuti za ustawi. Vipindi vya mafunzo vinajumuisha mada nyingi kwa kuzingatia mfumo wa haki za mtoto na jinsia ikiwa ni pamoja na ustawi wa kisaikolojia na kijamii na uimara, uthubutu, ukiwa, upimaji wa VVU, kuishi vizuri na VVU, kuzuia unyanyasaji wa kijinsia, na kuwasaidia walionusurika na unyanyasaji. Vinashughulika na masuala yanayowakabili vijana wanaokua, ambayo kwa hakika yanaweza kuwa na changamoto kwa wale walioathirika kwa VVU – kuanzia urafiki shuleni, hadi katika uhusiano, ujinsia, na njia za kujipatia riziki. Kila kipindi kati ya vipindi hivi kinaeleza kwa uwazi madhumuni yake makubwa, na kuweka lengo na njia kwa kila shughuli. Shughuli nyingi zinatekelezwa na washirikikwa kushirikiana na makundi rika yao matatu tofauti ya watoto wadogo (umri wa miaka 5-8), na watoto wakubwa (umri wa miaka 9-14) na walezi. Wakati mwinigine kila kundi rika hufanyakazi katika makundi madogo madogo ya jinsi. Makundi rika hayo wakati mwingine hufanya kazi pamoja, au kujumuika pamoja kushrikishana walichojifunza na kujadili njia zingine za kuhusiana.
Eksklusiv medlemspris 77 kr
Medlemspris 95 kr
Eksklusiv medlemspris og medlemspris er kun for medlemmer. Du bliver automatisk medlem når du køber til eksklusiv medlemspris eller medlemspris. Få 7 dages gratis medlemskab (herefter automatisk 89 kr/30 dage). Læs mere om fordelene
Gratis fragt
5 - 7 hverdage
10 kr
Lavt pakkegebyr
Bogen er desværre udsolgt fra forlaget - se andre bøger af samme genre her
Normalpris 258 kr
Fragt: 59 kr
7 - 10 hverdage
20 kr
Pakkegebyr
Bogen er desværre udsolgt fra forlaget - se andre bøger af samme genre her
Spar 181 kr
Se vores konkurrenters priser her
God 15.846 anmeldelser på
Kupata VVU inaweza isiwe hukumu ya kifo, lakini madhara yake bado ni makubwa. Watu wengi wanaoishi na VVU wanakabiliwa na ukanaji na kutokuwa na hakika kuhusu mustakabali wao, na wasiwasi huu unaweza kuonekana kwa undani zaidi kwa watoto na vijana. Kivuko na Watoto kinawapa mashirika na watu binafsi kitabu ambacho wanaweza kukitumia kuwahusisha watoto walioathirika kwa VVU na walezi wao, kwa kutumia mazoezi yenye uwezo mkubwa wa kuwasilisha taarifa, kuchunguza kanuni, kugundua uwezo wao, na kila mtu binafsi na kwa pamoja kuunda njia madhubuti za ustawi. Vipindi vya mafunzo vinajumuisha mada nyingi kwa kuzingatia mfumo wa haki za mtoto na jinsia ikiwa ni pamoja na ustawi wa kisaikolojia na kijamii na uimara, uthubutu, ukiwa, upimaji wa VVU, kuishi vizuri na VVU, kuzuia unyanyasaji wa kijinsia, na kuwasaidia walionusurika na unyanyasaji. Vinashughulika na masuala yanayowakabili vijana wanaokua, ambayo kwa hakika yanaweza kuwa na changamoto kwa wale walioathirika kwa VVU – kuanzia urafiki shuleni, hadi katika uhusiano, ujinsia, na njia za kujipatia riziki. Kila kipindi kati ya vipindi hivi kinaeleza kwa uwazi madhumuni yake makubwa, na kuweka lengo na njia kwa kila shughuli. Shughuli nyingi zinatekelezwa na washirikikwa kushirikiana na makundi rika yao matatu tofauti ya watoto wadogo (umri wa miaka 5-8), na watoto wakubwa (umri wa miaka 9-14) na walezi. Wakati mwinigine kila kundi rika hufanyakazi katika makundi madogo madogo ya jinsi. Makundi rika hayo wakati mwingine hufanya kazi pamoja, au kujumuika pamoja kushrikishana walichojifunza na kujadili njia zingine za kuhusiana.
Produktdetaljer
Sprog: Engelsk
Sider: 450
ISBN-13: 9781853399138
Indbinding: Paperback
Udgave:
ISBN-10: 1853399132
Kategori: Udviklingsstudier
Udg. Dato: 15 apr 2016
Længde: 30mm
Bredde: 215mm
Højde: 303mm
Oplagsdato: 15 apr 2016
Forfatter(e): Gill Gordon
Forfatter(e) Gill Gordon

Kategori Udviklingsstudier

Sprog Engelsk

Indbinding Paperback

Sider 450

Udgave

Længde 30mm

Bredde 215mm

Højde 303mm

Udg. Dato 15 apr 2016

Oplagsdato 15 apr 2016

MEDLEMSFORDELE
GRATIS FRAGT
SPAR OP TIL 90%
Andre har også købt
BOG (HÆFTET)
Eksklusiv medlemspris kr 189

kr 280
Normalpris
kr 198
Medlemspris
SPAR
kr 91
BOG (INDBUNDET)
Eksklusiv medlemspris kr 380

kr 499
Normalpris
kr 392
Medlemspris
SPAR
kr 119
BOG (INDBUNDET)
Eksklusiv medlemspris kr 208

kr 299
Normalpris
kr 217
Medlemspris
SPAR
kr 91
BOG (INDBUNDET)
Eksklusiv medlemspris kr 183

kr 270
Normalpris
kr 192
Medlemspris
SPAR
kr 87
BOG (INDBUNDET)
Eksklusiv medlemspris kr 919

kr 1.499
Normalpris
kr 977
Medlemspris
SPAR
kr 580
BOG (INDBUNDET)
Eksklusiv medlemspris kr 262

kr 349
Normalpris
kr 271
Medlemspris
SPAR
kr 87
BOG (INDBUNDET)
Eksklusiv medlemspris kr 329

kr 499
Normalpris
kr 346
Medlemspris
SPAR
kr 170
BOG (INDBUNDET)
Eksklusiv medlemspris kr 220

kr 320
Normalpris
kr 230
Medlemspris
SPAR
kr 100
BOG (HÆFTET)
Eksklusiv medlemspris kr 27

kr 227
Normalpris
kr 47
Medlemspris
SPAR
kr 200
BOG (HÆFTET)
Eksklusiv medlemspris kr 297

kr 350
Normalpris
kr 302
Medlemspris
SPAR
kr 53
BOG (HÆFTET)
Eksklusiv medlemspris kr 59

kr 129
Normalpris
kr 66
Medlemspris
SPAR
kr 70
BOG (HÆFTET)
Eksklusiv medlemspris kr 314

kr 349
Normalpris
kr 318
Medlemspris
SPAR
kr 35
BOG (HÆFTET)
Eksklusiv medlemspris kr 191

kr 269
Normalpris
kr 199
Medlemspris
SPAR
kr 78
BOG (PAPERBACK)
Eksklusiv medlemspris kr 166

kr 201
Normalpris
kr 170
Medlemspris
SPAR
kr 35
BOG (HÆFTET)
Eksklusiv medlemspris kr 211

kr 299
Normalpris
kr 220
Medlemspris
SPAR
kr 88
BOG (HÆFTET)
Eksklusiv medlemspris kr 207

kr 269
Normalpris
kr 213
Medlemspris
SPAR
kr 62
BOG (INDBUNDET)
Eksklusiv medlemspris kr 214

kr 320
Normalpris
kr 225
Medlemspris
SPAR
kr 106
BOG (PAPERBACK)
Eksklusiv medlemspris kr 106

kr 140
Normalpris
kr 109
Medlemspris
SPAR
kr 34
BOG (INDBUNDET)
Eksklusiv medlemspris kr 203

kr 300
Normalpris
kr 213
Medlemspris
SPAR
kr 97
BOG (INDBUNDET)
Eksklusiv medlemspris kr 216

kr 279
Normalpris
kr 222
Medlemspris
SPAR
kr 63